Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Kufuatia kupita mwaka mmoja wa kumbukumbu ya Operesheni ya "Tufani ya Al-Aqsa" / "Mafuriko ya Al-Aqsa" na kwa mwaliko wa Kamati ya Utekelezaji ya Palestina, kundi la watu wa nchi hii walikusanyika katika "Mraba wa Taksim" katika Mji wa Istanbul.
7 Oktoba 2024 - 15:16
Msimbo wa Habari: 1492476